Jaji Mkuu wa
Ethiopia, Mhe. Meaza Mengistu (kulia) akisalimiana leo na Balozi wa
Ethiopia nchini Tanzania, Mhe. Yonas Sanbe mara baada ya kuwasili
katika Viwanja vya Ndege vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es
Salaam.

Jaji Ethiopia,
Mhe. Meaza Mengistu (kulia) akipokelewa leo na Jaji wa Mahakama Kuu
Divisheni ya Biashara , Mhe. Mkuu wa Patricia Fikirini mara baada ya
kuwasili katika Viwanja vya Ndege vya Mwalimu Julius Nyerere jijini
Dar es Salaam kwa ajili ya kujifunza na kubadilishana uzoefu wa
maboresho mbalimbali yaliyofanywa na Mahakama ya Tanzania.Jaji Mkuu wa
Ethiopia amewasili nchini kwa ziara ya siku tatu.

Jaji Mkuu wa Ethiopia, Mhe. Meaza Mengistu (kulia) akisalimiana leo na Msajili wa Mahakama Kuu ya Tanzania , Mhe. Sharmillah Sarwatt. mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Ndege vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Jaji Mkuu wa
Ethiopia, Mhe.Meaza Mengistu (kulia) akizungumza jambo leo na Jaji
wa Mahakama Kuu Divisheni ya Biashara , Mhe. Patricia Fikirini mara
baada ya kuwasili katika Viwanja vya Ndege vya Mwalimu Julius Nyerere
jijini Dar es Salaam.

Jaji Mkuu wa
Ethiopia, Mhe Meaza Mengistu (kulia) akizungumza jambo leo na Balozi
wa Ethiopia nchini Tanzania, Mhe. Yonas Sanbe mara baada ya kuwasili
katika Viwanja vya Ndege vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es
Salaam.(Picha na Magreth Kinabo-Mahakama)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...