Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Kondoa Mhe. Hamza Mafita akiongea katika kikao cha wadau wa Elimu

Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe. Sezaria Makota akisisitiza jambo katika kikao cha wadau wa Elimu

Afisa Elimu Msingi Mwalimu Hassan Mtamba akisoma taarifa ya Idara ya Elimu Msingi wakati wa kikao cha Wadau wa Elimu.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Msoleni Dakawa akiongea katika kikao cha wadau wa Elimu

Mdhibiti Ubora Elimu Wilaya ya
Kondoa Habiba Mafita akiwasilisha taarifa ya Idara yake katika kuboresha
Elimu ndani ya Halmashauri.

Waheshimiwa Madiwani Halmashauri
ya Mji Kondoa (mstari wa kwanza kushoto) na wadau mbalimbali
wakifuatilia agenda za kikao cha Wadau wa Elimu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...