Wafanyabiashara wadogowadogo wa Mbogamboga katika kituo cha mabasi Feri wilaya ya Ilala
jijini Dar es Salaam wakiandaa biashara zao leo kama wanavyoonekana pichani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)


Wafanyabiashara wadogowadogo wa Mbogamboga katika kituo cha mabasi Feri wialaya ya Ilala jijini Dar es Salaam wakiendelea na kazi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...