Mjumbe wa Kamati
Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es
salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akionesha Fedha Taslim Shilingi
Milioni Tano alizochangia kwenye ujenzi wa JENGO LA ccm Mkoa wa Pwani
wakati wa Harambee iliyofanyika leo Febuari 15,2020 kwenye Maadhimisho
ya Miaka 43 ya CCM Mkoa wa Pwani leo Febuari 15,2020 katika Uwanja wa
sabasaba Mjini kihaba ambapo Jumla ya Shilingi Milioni 12,684,800.
Mifuko 100 ya Saruji, Ndoo 10 za Rangi, Tshs. 1,900,000. ni ahadi.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam
na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi
Mkoa wa Pwani Wakati wa Maadhimisho ya Miaka 43 ya CCM Mkoa Pwani
yaliyofanyika leo Febuari 15,2020 katika Uwanja wa Sabasaba mjini
Kibaha.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Mjumbe wa Kamati
Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es
salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata Keki Wakati wa Maadhimisho
ya Miaka 43 ya CCM Mkoa wa Pwani yaliyofanyika leo Febuari 15, 2020
katika uwanja wa saba saba mjini Kibaha.

Mjumbe wa Kamati
Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es
salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimlisha Keki Mwenyekiti wa CCM
Mkoa wa Pwani Ramadhani Maneno Wakati wa Maadhimisho ya Miaka 43 ya
CCM Mkoa wa Pwani yaliyofanyika leo Febuari 15,2020 katika Uwanja wa
sabasaba Mjini kihaba.

Mjumbe wa Kamati
Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es
salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimlisha Keki Mmoja ya wasanii wa
Muziki Raia wa Japani Ryuta Okamoto Afisa wa Maendeleo Songea Vijiji
JICA, aliyetumbuiza kwenye Maadhimisho ya Miaka 43 ya CCM Mkoa wa
Pwani yaliyofanyika leo Febuari 15,2020 katika Uwanja wa sabasaba Mjini
kihaba.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...