Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi katika kijiji cha Kipindimbi  wilayani Kilwa wakati alipotembelea maeneo yaliyoathirika kwa mafuriko katika mkoa wa Lindi, Februari 5, 20-20. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama eneo la mto Njinjo katika kijiji cha Kipindimbi wilayani Kilwa  lililoathiriwa mafuriko wakati alipotembelea maeneo yaliyokumbwa na mafuriko katika mkoa wa Lindi, Februri 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Mjaliwa akizungumza na wananchi katika kijiji cha Nambilanje wialyani Ruangwa wakati alipotembelea maeneo yaliyokumbwa na mafuriko mkoani Lindi kuwapa pole wananchi, Februari 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...