Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiangalia kiatu kinachotengenezwa katika
Kiwanda cha Gereza Karanga mkoani Kilimanjaro,mwishoni mwa wiki wakati
wa Ziara ya Ukaguzi wa shughuli zinazofanywa kiwandani hapo ambapo
aliwataka uongozi wa kiwanda hicho kuongeza ufanisi katika uzalishaji wa
bidhaa hizo za ngozi ili kuendana na kasi ya maendeleo ya viwanda
nchini.

Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akipokea kiatu kinachotengenezwa katika
Kiwanda cha Gereza Karanga mkoani Kilimanjaro,mwishoni mwa wiki wakati
wa Ziara ya Ukaguzi wa shughuli zinazofanywa kiwandani hapo ambapo
aliwataka uongozi wa kiwanda hicho kuongeza ufanisi katika uzalishaji wa
bidhaa hizo za ngozi ili kuendana na kasi ya maendeleo ya viwanda
nchini.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...