Naibu Waziri wa Madini, Mhe.Stanslaus Nyongo, akizungumza na wahariri wa Vyombo vya Habari Nchini (hawapo pichani), leo katika Ofisi ndogo za Wizara hiyo Jijini Dar es Salaam, kuhusu mkutano mkubwa Wa Madini utakaofanyika katika Kituo cha Mikutano Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Tanzania kuanzia Februari 21 hadi 23, 2020.
Baadhi ya Wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakimsikiliza Naibu Waziri wa Madini, Mhe.Stanslaus Nyongo wakati wa Mkutano wake na wahariri wa vyombo vya habari nchini  leo katika Ofisi ndogo za Wizara hiyo Jijini Dar es Salaam, kuhusu mkutano mkubwa Wa Madini utakaofanyika katika Kituo cha Mikutano Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Tanzania kuanzia Februari 21 hadi 23, 2020.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...