RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali
Mohamed Shein akiwa katika foleni akisubiri zamu yake katika zoezi la
Uhakiki taarifa zake katika Daftari la Kudumu la WApiga Kura Zanzibar ,
katika Kituo cha Kujiandikisha Wapiga Kura Skuli ya Msingi Bungi Wilaya
ya Kati Unguja (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar
Mhe Jaji.Hamid Mahmoud,(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali
Mohamed Shein akihakiki Taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Wapiga
Kura Zanzibar, na Afisa wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Ndg. Salum
Abdulrahaman Nadhif, alipofika Kituo Kujiandikisha Wapiga Kura Skuli ya
Msingi Bungi Wilaya ya Kati Unguja leo 29-2-2020, (kulia kwa Rais) Mke
wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali
Mohamed Shein, akikabidhiwa risiti na Afisa wa Tume ya Uchaguzi
Zanzibar (ZEC) Ndg. Salum. Abdulrahaman Nadhif, baada ya kumaliza
kuhakiki taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Zanzibar ,
katika Kituo cha Kujiandikisha Wapiga Kura Skuli ya Msingi Bungi Wilaya
ya Kati Unguja leo, 29-2-2020.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali
Mohamed Shein, akiwa katika Kituo cha Kuandikisha Wapiga Kura Skuli ya
Msingi Bungi Wilaya ya Kati Unguja , akisuburi Kitambulisho chake cha
mpiga kura baada ya kuhakikiwa na Mkuu wa Kituo cha Kijiandikisha Wapiga
Kura Skuli ya Msingi Bungi Wilaya ya Kati Unguja.Bi.Salma Abdulla
Mussa.(Picha na Ikulu).
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akihakiki Taarifa zake
katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Zanzibar, alipofika kuhakiki
taarifa zake katika Kituo cha Kujiandikisha Wapiga Kura Skuli ya Msingi
Bungi Wilaya ya Kati Unguja leo, akifanyika uhakiki na Afisa wa (ZEC)
Bi. Mwashamba Rashid Abuu.
AIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein, akitoka katika Kituo cha Kujiandikisha Wapiga Kura Skuli ya
Msingi Bungi Wilaya ya Kati Unguja baada ya kuhakiki taarifa zake katika
Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar, baada ya kuhakiki taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Zanzibar, katika Kituo cha kujiandisha Wapiga Kura Skuli ya Msingi Bungi Wilaya ya Kati Unguja leo,29-2-2020, (kulia kwa Rais ) Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC) Mhe. Jaji. Hamid Mahmoud na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja. Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...