Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na na viongozi wengine akikata utepe kuzindua jengo la Mkuu wa Wilaya hiyo baada ya kulifungua rasmi leo Jumanne Februari 11, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana  na Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mhe Sarah Msafiri na viongozi wengine baada ya kuzindua jengo la Mkuu wa Wil
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi baada ya kufungua rasmi majengo ya Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni na la Halmashauri ya Wilaya hiyo na kuizindua rasmi Wilaya hiyo leo Jumanne Februari 11, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Naibu Waziri wa Afya Mhe. Faustine Ndugulile wakiwea saini vitabu vya wageni katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mhe Sarah Msafiri na viongozi wengine baada ya kulifungua rasmi jengo la ofisi hizo leo Jumanne Februari 11, 2020. Waliosimama ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda na Mkurugenzi wa Wilaya ya Kigamboni Bw. Ng’ulwabuzu Ludigija.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda baada ya kuzindua rasmi jengo la Mkuu wa Wilaya hiyo  leo Jumanne Februari 11, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Wilaya ya Kigamboni Bw. Ng’ulwabuzu Ludigija akimpa maelezo kuhusu ujenzi wa jengo la Halmashauri ya Wilaya hiyo baada ya kulifungua rasmi leo Jumanne Februari 11, 2020.

PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...