RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara
ya Biashara na Viwanda Zanzibar. Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Kipindi cha
Julai hadi Disemba 2019 / 2020,
uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. (kilia kwa Rais) Katibu
Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee,
Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar.Mhe. Balozi Amina Salum Ali na Naibu
Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe. Hassan Khamis Hafidh (Picha na Ikulu) .
BAADHI ya Maofisa wa Idara za
Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar wakifuatilia uwasilishwaji wa Utekelezaji wa Mpango Kazi
kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar, wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar.Ndg.
Juma Hassan Reli akiwasilisha mpango kazi (hayupo pichani) (Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Biashara na Viwanda
Zanzibar Mhe.Balozi Amina Salum Ali akiwasilisha muhtasari wa Utekelezaji wa
Mpango Kazi wa Wizara yake kwa mwezu wa Julai hadi Disemba 2019/2020
uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, (kushoto) Katibu Mkuu
Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi.Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee.(Picha na
Ikulu)
BAADHI ya Maofisa wa Idara za
Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar wakifuatilia uwasilishwaji wa Utekelezaji wa Mpango Kazi
kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar, wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar.Ndg.
Juma Hassan Reli akiwasilisha mpango kazi (hayupo pichani) (Picha na Ikulu)
KATIBU Mkuu Wizara ya Biashara na
Viwanda Zanzibar Ndg. Juma Hassan Reli akiwasilisha Utekelezaji wa Mpango Kazi
wa Wizara yake kwa Kipindi cha mwezi
Julai hadi Disemba 2019/2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar, ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) (Picha na Ikulu)
MKURUGENZI Biashara Ndg. Khamis
Ahmada Shauri akichangia wakati wa mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa
Kipindi cha cha mwezi Julai hadi Disemba 2019/2020, uliofanyika katika ukumbi
wa Ikulun Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
AFISA wa Idara ya Vipimo na Biashara Ndg. Mohammed
Mwalim . akichangia wakati wa mkutano wa
Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa kipindi cha mwezi wa Julai hadi Disemba
2019/2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, ukiongozwa na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein, (hayupo pichani) (Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...