Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Serengeti (SBL), Mark Ocitti (kushoto), na balozi wa Uingereza, Sarah Cook, wakionja Whisky aina ya John Walker Blue Label katika hafla maalum ya ‘Whisky Tasting’ iliyoratibiwa na Serengeti Breweries Limited (SBL) ikilenga kuwapa nasasi wateja na wadau wengine kuonja ladha ya vinywaji vikali vinavyosambazwa na kampuni hiyo ikiwamo Johnnie Walker inayotimiza miaka 200 tangu kuanzishwa kwake. Hafla iliyofanyika kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Serengeti (SBL), Mark Ocitti (kushoto), akichukua whisky aina ya Johnnie Walker Blue Label katika hafla maalum ya ‘Whisky Tasting’ iliyofanyika katika makazi ya balozi huyo jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Johnnie Walker Afrika Mashariki, Marcus Kwikiriza, akizungumza wakati wa hafla maalum ya ‘Whisky Tasting’ iliyofanyika katika makazi ya balozi wa Uingereza jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Serengeti (SBL), Mark Ocitti, akizungumza katika hafla maalum ya Whisky Tasting iliyoratibiwa na Serengeti Breweries Limited (SBL) ikilenga kuwapa nasasi wateja na wadau wengine kuonja ladha ya vinywaji vikali vinavyosambazwa na kampuni hiyo ikiwemo Johnnie Walker inayotimiza miaka 200 tangu kuanzishwa kwake. Hhafla iliyofanyika kwenye makazi ya balozi wa Uingereza jijini Dar es Salaam.
Balozi
wa Uingereza hapa nchini Sarah Cook, akizungumza katika hafla maalumu
ya kuonja pombe kali aina ya Whisky iliyoratibiwa na Kampuni ya Bia ya
Serengeti Breweries Limited (SBL) ikililenga kuwapa nafasi wateja na
wadau wengine nafasi ya kuzifahamu na kuzionja pombe kali
zinazosambazwa na kampuni hiyo ikiwamo Johnnie Walker inayotimiza miaka
200 tangu kuanzishwa kwake. Hafla iliyofanyika kwenye makazi ya balozi
huyo jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...