- MANCHARE HECHE SUGUTA
Tunapenda kuutarifu Umma
kwamba mtajwa ambaye picha yake inaonekana hapo juu alikuwa mtumishi wa
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC). Kwasasa,
Bw. Manchare Heche Suguta amepangiwa majukumu mengine kwa utaratibu wa
kawaida wa Serikali hivyo hatahusika na shughuli zozote za Baraza wala
Ofisi ya Makamu wa Rais.
Imetolewa na
Mhandisi Joseph K. Malongo
Katibu Mkuu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...