Mwakilishi Mkaazi Wa Shirika La Afya Duniani (Who) Zanzibar Dkt. Andemichael Ghirmay akiukaribisha ujumbewa wa UN kwa Waziri wa Afya Zanzibar walipofika Ofisini kwake pamoja na kutoa maelezo kuhusu juhudi zinazochukuliwa na Serikali katika kuimarisha huduma za Afya Zanzibar.
 Mkuu Wa Sekreteriate ya Mtandao wa kutoa huduma bora za Afya kutoka Makao Makuu ya WHO Geneva Blerta Maligi wa (katikati) akielezea kuridhishwa na huduma za Afya zinazotolewa Zanzibar alipofanya mazungumzo na Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed Ofisini Kwake Mnazimmoja Mjini Zanzibar.
 Waziri wa Afya Hamad Rashidi akizungumza na ujumbe wa wataalamu wa Afya kutoka Mashirika ya WHO na Unicef Ofisini Kwake Mnazimmoja ulipo kwenda kuelezea mradi wa majaribio wa kuimarisha huduma za Afya.
 Mwenyekiti wa mstaafu wa mpango wa uimarishaji huduma za Afya Zanzibar Omar Mwalimu akiwasilisha taarifa ya kuimarika huduma za afya  kwa ujumbe wa kitaalamu wa WHO na Unicef katika Mkutano wa pamoja uliofanyika Wizara ya Afya Mnazimmoja Mjini Zanzibar.
Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashidi Muhamed (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka WHO pamoja na watendaji wakuu wa Wizara hiyo.

Picha na Makame Mshenga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...