Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Sirro (kushoto) akizungumza na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) DR. Stergomena Tax, aliyemtembelea ofisini kwake Makao Makuu Ndogo ya Jeshi hilo Jijini Dar es salaam leo na kujadiliana masuala mbalimbali ya kiutendaji.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Sirro (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) DR. Stergomena Tax, aliyemtembelea ofisini kwake Makao Makuu Ndogo ya Jeshi hilo Jijini Dar es salaam leo na kujadiliana masuala mbalimbali ya kiutendaji. Picha na Jeshi la Polisi.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...