Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani kailima (Pichani), akifafanua jambo kwa Viongozi na Wajumbe (hawapo pichani) walioshiriki Kikao Cha Baraza Dogo la Wafanyakazi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, kilichofanyika katika Ukumbi wa Chuo Cha Mipango, jijini Dodoma leo.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani kailima (Wa tatu kulia), Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, William Masunga (Wa wanne kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wajumbe wa Kikao Cha Baraza Dogo la Wafanyakazi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, kilichofanyika katika Ukumbi wa Chuo Cha Mipango, jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani kailima (Wa kwanza kushoto), Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, William Masunga (Wa pili kushoto) wakiwasili kwenye Kikao Cha Baraza Dogo la Wafanyakazi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, kilichofanyika katika Ukumbi wa Chuo Cha Mipango, jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani kailima (Katikati), Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, William Masunga (Wa kwanza kushoto) na Katibu wa Baraza la Tawi la Zimamoto na Uokoaji, Felix Mushi (Wa kwanza kulia) wakimsikiliza Mjumbe (hayupo pichani) kwenye Kikao Cha Baraza Dogo la Wafanyakazi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, kilichofanyika katika Ukumbi wa Chuo Cha Mipango, jijini Dodoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...