Waziri
wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Katikati), Katibu
Mkuu, Christopher Kadio (Kulia) na Naibu klatibu Mkuu, Ramadhani Kailima
(Kushoto) wakizungumza kabla ya kuanza Kikao Cha Kamati ya Bunge ya Mambo ya
Nje, Ulinzi na Usalama. Wizara hii imewasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti
ya Mwaka wa Fedha 2020/21 katika Kikao
kilichofanyika Jijini Dodoma leo.
Waziri
wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Kushoto), Katibu
Mkuu, Christopher Kadio (Katikati) na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza,
Suleiman Mzee (Kulia) wakizungumza kabla ya kuanza kwa Kikao Cha Kamati ya
Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama kilichofanyika katika Ukumbi wa
Mikutano wa Pius Msekwa, Bungeni Jijini Dodoma leo.
Waziri
wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Wapili kulia) akizungumza na Viongozi Wakuu
wa Wizara hii kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje,
Ulinzi na Usalama, Wizara hii imewasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya
Mwaka wa Fedha 2020/21 katika Kikao
kilichofanyika Jijini Dodoma leo.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nchi, Christopher Kadio (Wa kwanza kulia) akifafanua
jambo kwa Viongozi Wakuu wa Wizara hii kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati ya
Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama. Wizara hii imewasilisha Taarifa ya
Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha
2020/21 katika Kikao kilichofanyika Jijini Dodoma leo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio
(Kushoto) na Naibu Katibu Mkuu,
Ramadhani Kailima, wakisikiliza kwa makini maoni ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge
ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, wakati wa Kikao cha kupitia mapendekezo ya
Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2020/2021 kilichofanyika leo jijini
Dodoma.
Waziri
wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, ,(wa kwanza kushoto
), akifafanua jambo wakati wa kikao cha
Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama cha kupitia mapendekezo ya
Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2020/2021 kilichofanyika leo jijini
Dodoma.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nchi, Christopher Kadio, (aliyesimama) akifafanua
jambo wakati wa Kikao cha Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama
kupitia mapendekezo ya Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2020/2021
kilichofanyika leo jijini Dodoma.
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima,
(aliyesimama) akifafanua jambo mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya
Nje, Ulinzi na Usalama, wakati wa Kikao cha kupitia mapendekezo ya Bajeti ya
Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2020/2021 kilichofanyika leo jijini Dodoma.
Baadhi
ya Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama vilivyopo Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakiwa
katika Kikao cha Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama kilichoketi
kupitia mapendekezo ya Bajeti ya Wizara hii kwa mwaka wa fedha 2020/2021
kilichofanyika leo jijini Dodoma.
Baadhi
ya Watendaji kutoka Jeshi la Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Idara ya Uhamiaji
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakiwa katika Kikao cha Kamati ya Bunge ya
Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichoketi kupitia mapendekezo ya Bajeti ya
Wizara hii kwa mwaka wa fedha 2020/2021 kilichofanyika leo jijini Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...