Katibu Mkuu wa Mambo ya Ndani ya
Nchi ndugu Christopher D. Kadio (wa nne toka kushoto ) akimkaribisha
Mkuu wa Msafara wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na
Usalama,ambaye ni Mbunge wa Zanzibar Jimbo la Uzini ndugu Salum
Rehani(wa nne toka kulia) walipowasili eneo la Mradi, Msalato. Wa tatu
toka kushoto ni Kamishna Jenerali wa Magereza Selemani Mzee.

Katibu Mkuu wa Mambo ya Ndani ya
Nchi ndugu Christopher D. Kadio akizungumza machache kabla ya
kumkaribisha Mkuu wa Msafara kuzungumza na viongozi wa Jeshi la Magereza
pamoja na wajenzi wa mradi

Mkadiriaji Mkuu wa Ujenzi Makao
Makuu ya Magereza Kamishna Msaidizi Aaron Lunyungu akitoa maelezo ya
ramani ya mradi kwa Mkuu wa Msafara wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo
ya Nje, Ulinzi na Usalama,ambaye ni Mbunge wa Zanzibar Jimbo la Uzini
ndugu Salum Rehani.

4.Msimamizi Mkuu wa Mradi wa
ujenzi wa Kiwanda cha Useremala Gereza Msalato Mrakibu Bonanza Malata
akitoa maelezo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na
Usalama.Picha zote na Makao Makuu ya Jeshi la Magereza, Dodoma
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...