Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio
(Watatu kulia) akisisitiza jambo kwa baadhi ya Watendaji wa Wizara hii
pamoja na Wajumbe wa Ukaguzi Mradi wa Dar City walipokuwa katika Kikao
cha Kuwasilisha Taarifa ya Ukaguzi wa Mradi huo, unaohusisha Ujenzi wa
Nyumba za Maafisa wa Polisi Oysterbay, Kijitonyama na Kituo cha Polisi
Oysterbay. Kikao hicho kilifanyika, Jijini Dodoma leo.

(Watano kushoto) akimsikiliza Kiongozi wa Kamati ya Ukaguzi Mradi wa Dar
City, Arch. Bernard Chagula (Aliyesimama) alipokuwa akifafanua jambo
walipokuwa wakiwasilisha Taarifa ya Ukaguzi wa Mradi huo unaohusisha
Ujenzi wa Nyumba za Maafisa wa Polisi Oysterbay, Kijitonyama na Kituo
cha Polisi Oysterbay. Kikao hicho kilifanyika, Jijini Dodoma leo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio
(Kushoto) akipokea Taarifa ya Ukaguzi Mradi wa Dar unaohusisha Ujenzi wa
Nyumba za Maafisa wa Polisi Oysterbay, Kijitonyama na Kituo cha Polisi
Oysterbay. Kulia ni Kiongozi wa Kamati ya Ukaguzi wa Mradi huo Arch.
Bernard Chagula, Kikao hicho kilifanyika, Jijini Dodoma leo.
Kiongozi wa Kamati ya Ukaguzi Mradi wa Dar City, Arch. Bernard Chagula
(Aliyesimama) akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Hayupo pichani) alipokuwa
akiwasilisha Taarifa ya Ukaguzi wa Mradi huo unaohusisha Ujenzi wa
Nyumba za Maafisa wa Polisi Oysterbay, Kijitonyama na Kituo cha Polisi
Oysterbay. Kikao hicho kilifanyika, Jijini Dodoma leo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Wapili kulia) akimsikiliza Mjumbe Kamati ya Ukaguzi Mradi wa Dar City, DCP Sospeter Kondela (Wa kwanza kulia) alipokuwa akifafanua jambo katika Kikao cha Kuwasilisha Taarifa ya Ukaguzi wa Mradi huo, unaohusisha Ujenzi wa Nyumba za Maafisa wa Polisi Oysterbay, Kijitonyama na Kituo cha Polisi Oysterbay. Kikao hicho kilifanyika, Jijini Dodoma leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...