Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama miche ya mkonge wakati
alipotembelea kitalu cha Taasisi ya Kilimo Nchini (TARI) Mlingano
wilayani Muheza Machi 6, 2020. Kulia ni Mwenyekti wa CCM wa mkoa wa
Tanga, Henry Shekifu, wa nne kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omar
Mgumba na wa tatu kulia ni Mkurugenzi wa Kituo hicho, Dkt. Catherene
Senkoro. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama miche ya mkonge wakati
alipotembelea kitalu cha Taasisi ya Kilimo Nchini (TARI) Mlingano
wilayani Muheza Machi 6, 2020. Wa nne kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo,
Omar Mgumba na wa tatu kulia ni Mkurugenzi wa Kituo hicho, Dkt.
Catherene Senkoro. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikkagua miche ya mkonge wakati
alipotembelea kitalu cha Taasisi ya Kilimo Nchini (TARI) Mlingano
wilayani Muheza Machi 6, 2020. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa
Tanga, Martine Shigela.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na viongozi wa mkoa wa Tanga baada ya kuhitimisha ziara ya siku sita mkoani humo, Machi. 6, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...