Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akitembelea Hospitali Mpya ya Mkoa wa Simiyu Wilayani Bariadi
leo March 07,2020. Makamu wa Rais yupo Mkoani Simiyu kwa ziara ya
kikazi. kulia Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, kushoto Mkuu wa Mkoa Simiyu
Mhe. Antoni Mtaka.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akipata maelezo kutoka kwa Mganga Mkuu wa Hospitali Mpya ya Mkoa
wa Simiyu Dk. Festo Dugange kuhusu Vifaa Vipya vilivyofungwa kwenye
Hospitali hiyo leo March 07,2020 wakati alipotembelea kwa ajili ya
kuangalia maendeleo ya kiutendaji ambapo ameridhishwa na hatua
iliyofikiwa katika Hospitali hiyo. kushoto Waziri wa afya Ummy Mwalimu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akizungumza na Wauguzi wa Hospitali Mpya ya Mkoa wa Simiyu
wakati alipotembelea Hospitali hiyo leo March 2020 kwa ajili ya
kuangalia maendeleo ya kiutendaji ambapo ameridhishwa na hatua
iliyofikiwa katika Hospitali hiyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...