Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipita kukagua Maendeleo ya ujenzi katika sehemu ya  gorofa ya pili ya barabara ya juu Ubungo Interchange ambayo iko katika hatua za mwisho kukamilika kwa ajili ya magari kuanza kupita. Mradi mzima wa Makutano hayo ya Ubungo umefikia asilimia 75.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mke wake Mama Janeth Magufuli wakimsikiliza Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng. Patrick Mfugale wakati akielezea Maendeleo ya ujenzi wa Barabara za Juu katika Makutano ya Ubungo, Ubungo Interchange jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua ujenzi wa Barabara za Juu katika Makutano ya Ubungo, Ubungo Interchange jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi waliokusanyika katika eneo la Mbezi Mwisho wakati akikagua ujenzi wa barabara ya Morogoro katika eneo la Kimara -Kibaha ambapo upanuzi wake unaendelea na umefikia asilimia 70.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoa na wananchi wa Mbezi Mwisho wilaya ya Ubungo jijini Dar es salaam wakati wa kukagua miradi ya ujenzi wa daraja la juu la Ubungo pamoja na barabara ya njia nane kutoka Ubungo-Chalinze leo Jumatatu Machi 16, 2020.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi wa Mlandizi mkoani Pwani wakati wa kukagua miradi ya ujenzi wa daraja la juu la Ubungo pamoja na barabara ya njia nane kutoka Ubungo-Chalinze leo Jumatatu Machi 16, 2020
 Wananchi wa Mlandizi mkoani Pwani wakimshangilia Rais Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kukagua miradi ya ujenzi wa daraja la juu la Ubungo pamoja na barabara ya njia nane kutoka Ubungo-Chalinze leo Jumatatu Machi 16, 2020




 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi wa Chalinze mkoani Pwani wakati wa kukagua miradi ya ujenzi wa daraja la juu la Ubungo pamoja na barabara ya njia nane kutoka Ubungo-Chalinze leo Jumatatu Machi 16, 2020
 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea nyakati mbalimbali wakati akikagua ujenzi wa daraja la juu la Ubungo pamoja na barabara ya njia nane kutoka Ubungo-Chalinze na pia kuongea na kusikiliza kero za wananchi Mbezi Mwisho, Mloganzila, Mlandizi na Chalinze leo Machi 16, 2020
 PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...