Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimuapisha Bw. Gerald Musabila Kusaya kuwa Katibu Mkuu wa
Wizara ya Kilimokatika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
salaam leo Ijumaa March 6, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimkabidhi nyenzo baada ya kumuapisha Bw. Gerald Musabila Kusaya kuwa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu
jijini Dar es salaam leo Ijumaa March 6, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga Waziri wa Viwanda na
Biashara Innocent Bashungwa, Waziri wa Fedha na Mipangu Dkt. Philip
Mpango, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Mwenyekiti wa Tume ya
Maadili Jaji Mstaafu Harold Nsekela pamoja na baadhi ya makatibu wakuu
na Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama baada ya kumuapisha Bw. Bw.
Gerald Musabila Kusaya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo na
Umwagiliaji katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
leo Ijumaa March 6, 2020
PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...