Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwasili eneo la daraja la Kiegeya lililosombwa na maji na kukata mawasiliano barabara ya Dodoma-Morogoro akiwa ameongozana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Aloyce Mamwelwe, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Loatha Sanare na viongozi wengine wa Wizara na mkoa huo leo Jumatatu Machi 16, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitembelea maeneo mbalimbali yaliyozunguka daraja la Kiegeya lililosombwa na maji na kukata mawasiliano barabara ya Dodoma-Morogoro akiwa ameongozana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Aloyce Mamwelwe, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Loatha Sanare na viongozi wengine wa Wizara na mkoa huo leo Jumatatu Machi 16, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitoa maagizo baada ya kutembelea na kujionea  athari zilizolipata daraja la Kiegeya lililosombwa na maji na kukata mawasiliano barabara ya Dodoma-Morogoro akiwa ameongozana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Aloyce Mamwelwe, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Loatha Sanare na viongozi wengine wa Wizara na mkoa huo leo Jumatatu Machi 16, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitoa maagizo kwa OCD baada ya kumkabidhi shilingi milioni 5 taslimu kiusaidia ujenzi wa maabara ya shule ya sekondari ya Magubike kufuatia kilio cha wananchi wa eneo alipotembelea maeneo mbalimbali ya daraja la Kiegeya lililosombwa na maji na kukata mawasiliano barabara ya Dodoma-Morogoro akiwa ameongozana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Aloyce Mamwelwe, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Loatha Sanare na viongozi wengine wa Wizara na mkoa huo leo Jumatatu Machi 16, 2020

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...