RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali
Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi , wakati wa mkutano wa kuwasilisha taarifa ya
Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020,
uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(kulia kwa Rais)
Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Abdulhamid
Yahya Mzee na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu.(Picha na Ikulu).
BAADHI ya Wakuu wa Idara mbalimbali za Ofisi ya Rais Ikulu wakifuatilia
kikao hicho cha kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Mpango Kazi kwa
mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, kikiongozwa na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo
pichani) katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
BAADHI ya Maofisa wa Idara mbalimbali Ofisi ya Rais Ikulu wakifuatilia
mkutano huo wa kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa
Ofisi hiyo kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020, wakati
ikiwasilishwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi, Ndg. Salum Maulid.(hayupo pichani) kikao kilichofanyika
ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi .Ndg.
Salum Maulid, akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji ya Mpango Kazi kwa
mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020,(kushoto) Naibu Katibu Mkuu Ndg,
Salum Kassim Ali na Naibu Katibu Mkuu Baraza la Mapinduzi. Ndg Salmin
Amour Abdaalla. Wakifuatilia taarifa hiyo wakati ikiwasailishwa.
BAADHI ya Washauri wa Rais wakifuatila mkutano wa uwasilishaji wa
Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba
2019/2020, ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) uliofanyika katika
ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Barazac la
Mapinduzi.Ndg. Salum Kassim Ali akijibu swali wakati wa mkutano huo wa
kuwailisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi
Disemba 2019/2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
(kulia) Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ndg. Salum Maulid.
MKURUGENZI Idara ya Uendeshaji na Utumishi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Ndg. Makame Juma Ha akijibu swali wakati wa
kuwasilisha kwa taarifa ya utekelezaji wa Mpango Kazi wa Ofisi ya Rais
kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020, ukiongozwa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein.(hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar.
KATIBU wa Rais Ndg. Haroub Shaib Mussa akijibu swali lililoulizwa wakati wa kuwasilishwa kwa taarifa ya Utekelezaji Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020,katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, mwenyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.( hayupo pichani) (Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...