
Daktari Bingwa wa Upasuji Uso na Mataya Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt. Arnold Mtenga akimfanyi uchunguzi wa Kinywa na Meno Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mh. Juma Homera wakati wa Uzinduzi wa Wiki ya Afya ya Kinywa na Meno Tanzania katika kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani. (PICHA NA MPIGAPICHA WETU)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...