Drama ya The General's daughter inamzungumzia Binti wa kifilipino aitwaye Rhian ambaye ni nesi katika Jeshi,anafundishwa mbinu za kipelelezi na kijeshi kumuangamiza baba yake halisi bila yeye kujua.
Unakosaje kuangalia Drama kali kama hii? Startimes Tanzania itarusha kipindi hiki kuanzia tarehe 25 Machi, kila siku kuanzia Jumatatu mpaka Jumapili saa 3 Usiku kwenye Chaneli ya ST Novela E.
Lipia sasa kifurushi ili ushuhudie Drama hii kali.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...