Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma, Jaji (mstaafu), Dkt. Steven James Bwana (Kushoto), akimuapisha ndugu Mussa Magunguli
(Kulia) kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Mipango, Ufuatiliaji na Tathmini katika Ofisi
ya Rais, Tume ya Utumishi wa Umma. Wanaoshuhudia ni baadhi ya Viongozi wa Tume,
hafla fupi ya kumuapisha imefanyika leo
katika Ofisi ya Tume jijini Dar es Salaam. (Picha na PSC).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...