
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Lusubilo Mwakabibi, masuala mbalimbali ya kikazi. Mazungumzo hayo yalifanyika ofisini kwa Wazirihuyo, jijini Dodoma, leo. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia) akiagana na Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Lusubilo Mwakabibi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika, Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma, leo.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Lusubilo Mwakabibi, alipokuwa akifafanua jambo baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika Mji wa Serikali,Mtumba, jijini Dodoma, leo. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...