Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, GeorgeSimbachawene (Watano kushoto) pamoja na baadhi ya Watendaji wa Wizara yake wakiwa katika Kikao Cha Kupitia Mpango na Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara hii kwa kipindi cha kuanzia Julai, 2019 hadi Februari, 2020. Kikao hicho kilifanyika katika Ofisi za Wizara hii Mtumba, JijiniDodoma leo.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, GeorgeSimbachawene (Kushoto) akisisitiza jambo katika Kikao cha kupitia Taarifa ya Mpango na Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara hii kwa kipindi cha kuanzia Julai, 2019 hadi Februari, 2020. Wa pili kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hii,
Christopher Kadio, Wa Kwanza Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu, Emmanuel Kayuni. Kikao hicho kilifanyika katika Ofisi za Wizara hii Mtumba, Jijini Dodoma leo.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, GeorgeSimbachawene (Kulia) akipitia Taarifa ya Mpango na Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara hii kwa kipindi cha kuanzia Julai, 2019 hadi Februari, 2020. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango, Wanja Mtawazo, alipokuwa akimfafanulia jambo Waziri Simbachawene, Jijini Dodoma leo.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, GeorgeSimbachawene (Kushoto) akimsikiliza Kamishna wa ushirikishwaji wa Jamiii, Dkt. CP Mussa Ali Mussa (Aliyesimama) alipokuwa akifafanua jambo katika Kikao Cha Kupitia Mpango na Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara hii kwa kipindi cha kuanzia Julai, 2019 hadi Februari, 2020. Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, DCI Boaz Abanwa. Kikao hicho kilifanyika katika Ofisi za Wizara hii Mtumba, Jijini Dodoma leo. 
Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakiwa katika Kikao Cha Kupitia Mpango na Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara hii kwa kipindi cha kuanzia Julai, 2019 hadi Februari, 2020. Kikao hicho kiliongozwa na Waziri wa Wizara hii, George Simbachawene katika
Ofisi za Mtumba, Jijini Dodoma leo.
Mkuu wa Mipango na Bajeti wa Jeshi la Polisi, SACP JustusKamugisha (Aliyesimama) akisoma taarifa kwa Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, (Hayupo pichani) katika Kikao Cha Kupitia Mpango na Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara hii kwa kipindi cha kuanzia Julai, 2019 hadi Februari, 2020. Jijini, Dodoma leo.
Baadhi ya Watendaji wa Jeshi la Polisi, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakiwa katika Kikao Cha Kupitia Mpango na Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara hii kwa kipindi cha kuanzia Julai, 2019 hadi Februari, 2020. Kikao hicho kiliongozwa na Waziri wa Wizara hii, George Simbachawene katika Ofisi za Mtumba, Jijini Dodoma leo.

Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, GeorgeSimbachawene (Kushoto) akisisitiza jambo katika Kikao cha kupitia Taarifa ya Mpango na Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara hii kwa kipindi cha kuanzia Julai, 2019 hadi Februari, 2020. Wa pili kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hii,
Christopher Kadio, Wa Kwanza Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu, Emmanuel Kayuni. Kikao hicho kilifanyika katika Ofisi za Wizara hii Mtumba, Jijini Dodoma leo.

Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, GeorgeSimbachawene (Kulia) akipitia Taarifa ya Mpango na Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara hii kwa kipindi cha kuanzia Julai, 2019 hadi Februari, 2020. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango, Wanja Mtawazo, alipokuwa akimfafanulia jambo Waziri Simbachawene, Jijini Dodoma leo.

Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakiwa katika Kikao Cha Kupitia Mpango na Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara hii kwa kipindi cha kuanzia Julai, 2019 hadi Februari, 2020. Kikao hicho kiliongozwa na Waziri wa Wizara hii, George Simbachawene katika
Ofisi za Mtumba, Jijini Dodoma leo.

Mkuu wa Mipango na Bajeti wa Jeshi la Polisi, SACP JustusKamugisha (Aliyesimama) akisoma taarifa kwa Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, (Hayupo pichani) katika Kikao Cha Kupitia Mpango na Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara hii kwa kipindi cha kuanzia Julai, 2019 hadi Februari, 2020. Jijini, Dodoma leo.

Baadhi ya Watendaji wa Jeshi la Polisi, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakiwa katika Kikao Cha Kupitia Mpango na Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara hii kwa kipindi cha kuanzia Julai, 2019 hadi Februari, 2020. Kikao hicho kiliongozwa na Waziri wa Wizara hii, George Simbachawene katika Ofisi za Mtumba, Jijini Dodoma leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...