WAZIRI wa Biashara na Viwanda
Zanzibar.Mhe. Balozi Amina Salum Ali, akihutubia wakati wa hafla ya
uzinduzi waBidhaa ya Chumvi ya Zalt inayotengenezwa na Kampuni ya
Swahili Coast Salt, hafla hiyo ya uzinduzi imefanyika katika mgahawa wa
6Degress South Shangani Jijini Zanzibar.(Na. Mpiga Picha Wetu)

WAZIRI wa Biashara na Viwanda
Zanzibar.Mhe. Balozi Amina Salum Ali, akizungumza na Mkurugenzi wa
Kampuni ya Swahili Coast Salt.Bi. Stephanie Said, wakati wa hafla ya
Uzinduzi wa Chumvi ya Zalt (Zanzibar Salt With a Story)AzAinayotengeneza
Pemba na kampuni hiyo, hafla hiyo ya uzinduzi imefanyika katika mgahawa
wa 6Degress South Shangani Jijini Zanzibar.(Na Mpiga Picha Wetu)


MKURUGENZI wa Kampuni ya Swahili
Coast Salt, inayotengeneza bidhaa ya chumvu ya Zalt.Bi.Stephanie Said,
akitowa maelezo ya kitaalam ya uzalishaji wa bidhaa hiyo ya chumvi
wakati wa hafla ya uzinduzi wake uliofanyika katika mgahawa wa 6Degress
South shangani Jijini Zanzibar, kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin
kuzungumza na kuzundua bidhaa hiyo.(Na Mpiga Picha Wetu)

WAALIKWA katika hafla ya
uzinduzi wa Chumvi ya Zalt inayozalishwa na Kampuni ya Swahil Coast
Salt, wakipata maelezo kutoka kwa Mwakilishi wa kampuni hiyo.Bi, Kika
Toscano,(katikati) akitowa maelezo ya bidhaa hiyo wakati wa hafla ya
uzinduzi huo uliofanyika katika mgahawa wa 6Degress South shangani
Jijini Zanzibar.(Na Mpiga Picha Wetu)

WAGENI waalikwa katika hafla ya
uzinduzi wa bidhaa ya Chumvi ya Zalt inayotengenezwa na Kampuni ya
Swahili Coast Salt Zanzibar, wakimsikiliza Waziri wa Biashara na Viwanda
Zanzibar.Mhe Balozi Amina Salum Ali.(hayupo pichani) akizungumza wakati
wa hafla hiyo iliofanyika katika mgahawa wa 6Degress South Shangani
Jijini Zanzibar.(Na. Mpiga Picha Wetu)

MWAKILISHI wa Kampuni ya Swahil
Coast Salt.Bi.Kika Toscano akitowa maelezo ya chumvi ya Zalt, kwa
wageni waalikwa katika hafla hiyo ya ufunguzi wa chumvi hiyo ikiwa
katika vifungashio vha aina mbalimbali, uzinduzi huo umefanyika katika
mgahawa wa 6Degress South Shangani Jijini Zanzibar.(Na Mpiga Picha Wetu)

BAADHI ya wageni waalikwa wa
hafla ya Uzinduzi wa Chumvi ya Zalt inayotengenezwa na Kampuni ya
Swahili Coast Salt, wakiangalia vipeperushi vinavyoelezea bidhaa hiyo ya
chumvu wakati wa hafla hiyo, iliofanyika katika mgahawa wa 6Degress
South Shangani Jijin I Zanzibar.(Na Mpiga Picha Wetu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...