Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein alipokuwa akitoa Salamu za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa
Wananchi wa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla. Pia aliwatakia waislamu
wote mfungo mwema wa Mwezi huu wa Ramadhani kwa kufanya ibada mbali
mbali ikiwemo sadaka na zaka na mengineyo pia kuondokana na mikusanyiko
isiyofaa kuyaepuka maradhi yaliyoingia Duniani kote na kufuatana
maelekezo yanayotolewa na Viongozi wao pamoja na kujihifadhi na
kuyashinda mambo mbali mbali yanayobatilisha funga kwa ujumla.[ Picha na Ikulu] 23/04/2020.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...