KAMPUNI pendwa ya simu Tanzania, Infinix Mobility iko mbioni kuleta simu yenye hadhi ya juu-NOTE 7 na kupewa jina la BIGI MAKINI kutokana na kioo chake kuwa na size kubwa 6.95inch na uwezo mkubwa wa camera 48MP na processor ya G70 kutoka Mediatek.
Processor yenye speed ya G70 inauwezo mkubwa wenye kuwezesha matumizi mbali mbali kwa wakati mmoja bila kuchoka, NOTE 7 inatumia OS mpya kutoka Google, Android 10. Simu hii haitazinduliwa rasmi kama utaratibu wao ulivyozoeleka lakini kupitia mitandao yao ya kijamii @infinixmobiletz wameeleza sifa na umaradufu wa simu hii. Yawezekana kuwa ndiyo simu bora zaidi ya Infinix kutoka mwaka huu.

Tunawakaribisha wateja wetu kununua Infinix NOTE 7 Lite sasa zipo madukani, na kwa kila mteja atakayenunua atapata zawadi mbali mbali kutoka Infinix, ikiwemo, magic cup, Notebooks, Speaker vile vile unaweza kujishindia Simu nyingine ila hii itakuwa kwa wateja wa NOTE 7 pindi itakapoingia sokoni mwezi ujao.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...