Na Irene Mwidima,Michuzi TV.

 Iyanna Floyd ambae ni binti wa Floyd Mayweather huenda akahukumiwa kifungo cha hadi miaka 99 jela kwa kosa la kumchoma mtu kisu mara mbili binti ambae ni mzazi mwenzake na NBA Youngboy. Iyanna Floyd ambae ana miaka 20 aliwasili nyumbani kwa mpenzi wake, rapper NBA Youngboy ambapo alimkuta na mzazi mwenzake aitwae Lapattra Lashai Jacobs. 

Iyanna alianza kumwambia Lapattra aondoke hapo nyumbani kwani NBA Youngboy ni mchumba wake. Tukio hilo lilitokea Jumamosi ya wiki iliyopita April 4 ambapo mkasa ulianza baada ya iyanna kuwasili nyumbani kwa mpenzi wake. 

Baada ya kuzozana sana walifikishana hadi jikoni ambapo iyanna alichukua visu viwiwli, na pale ambapo Lapattra alipozidisha hatua tu, Iyanna alimchoma kisu kimoja na kasha kumchoma tena nba kisu cha pili. Akiwaambia polisi, Lapattra alidai hakusikia kisu cha kwanza kilivyoingia na ndipo Iyanna alimshindilia tena

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...