Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Wa kwanza kulia), akimsikiliza Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto, aliyekuwa akitoa taarifa ya
Ujenzi wa Kituo Kipya cha Polisi Mbande Wilayani Kongwa, Jijini Dodoma
ambacho Katibu Mkuu Kadio amekagua Maendeleo ya Ujenzi wa Kituo hicho
akiwa ameambatana na Naibu Katibu Mkuu, Ramadhani kailima pamoja na
baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Aliyenyoosha kidole), akielekeza jambo
kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto, alipokuwa akikagua
Ujenzi wa Kituo Kipya cha Polisi Mbande, Wilayani Kongwa, Dodoma. Wa
kwanza kulia ni Naibu Katibu Mkuu, Ramadhani Kailima na baadhi ya Wakuu
wa Idara na Vitengo

Jengo la Kituo Kipya cha Polisi
Mbande, Wilayani Kongwa, Jijini Dodoma kilichokaguliwa na Katibu Mkuu wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio, aliyeambatana na
Naibu Katibu Mkuu, Ramadhani Kailima, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma,
Gilles Muroto na baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Wa kwanza kulia), Naibu Katibu Mkuu,
Ramadhani Kailima (Wa pili kulia) na baadhi ya Wakuu wa Idara na
Vitengo, wakimsikiliza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto,
alipokuwa akifafanua jambo juu ya Ujenzi wa Kituo Kipya cha Polisi
Mbande, Wilayani Kongwa, Jijini Dodoma ambacho Katibu Mkuu Kadio
amekagua Maendeleo ya Ujenzi wa Kituo hicho.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Wa kwanza kushoto), akimsikiliza
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto, aliyekuwa akionyesha
Jengo la Kituo Kipya cha Polisi Mbande katika Wilaya ya Kongwa, Jijini
Dodoma. Kadio aliyeambatana na Naibu Katibu Mkuu, Ramadhani Kailima (Wa
pili kulia) na baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo amekagua Maendeleo ya
Ujenzi wa Kituo hicho.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Wa pili kulia), Naibu Katibu Mkuu,
Ramadhani Kailima (Wa kwanza kulia) na baadhi ya Wakuu wa Idara na
Vitengo wakitazama Jengo la Kituo Kipya cha Polisi Mbande katika Wilaya
ya Kongwa, Jijini Dodoma walipokuwa wakikagua Maendeleo ya Ujenzi wa
Kituo hicho.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...