

Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi akimkabidhi zawadi ya simu mteja wa Vodacom Abutwalib Mtua alipotembelea duka la kampuni hiyo lililopo makao makuu, kuangalia namna watoa huduma wanavyowalinda Wateja wao kipindi hiki cha janga la Corona kwa kusisitiza uvaaji wa barakoa, kuwapima joto na kuwapa vitakasa mikono mara waingiapo kupata huduma kwenye maduka ya kampuni hiyo. Wengine kushoto ni Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano Vodacom Tanzania PLC,Rosalynn Mworia na Mkuu wa Idara ya Uhusiano, Jacquiline Materu.

Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi akimkabidhi zawadi ya Power Bank mteja wa Vodacom, Naseeb Shaban alipotembelea duka la kampuni hiyo lililopo makao makuu kuangalia namna watoa huduma wanavyowalinda Wateja wao kipindi hiki cha janga la Corona kwa kusisitiza uvaaji wa barakoa, kuwapima joto na kuwapa vitakasa mikono mara waingiapo kupata huduma kwenye maduka ya kampuni hiyo. Kulia ni Mkuu wa Idara ya Uhusiano, Jacquiline Materu.

Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi akipimwa joto na Askari wa ulinzi wa Duka la Vodacom, Masafa Hamad Muba hii ni namna mojawapo ya kampuni hiyo inavyowalinda wateja wake katika kipindi hiki cha janga la Corona kwa kusisitiza uvaaji wa barakoa, kuwapima joto na kuwapa vitakasa mikono mara waingiapo kupata huduma kwenye maduka ya kampuni hiyo.

Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi akimkabidhi zawadi ya Power Bank mteja wa Vodacom, Ruth Samuel Mkuchu alipotembelea duka la kampuni hiyo lililopo makao makuu kuangalia
namna watoa huduma wanavyowalinda Wateja wao kipindi hiki cha janga la Corona kwa kusisitiza uvaaji wa barakoa, kuwapima joto na kuwapa vitakasa mikono mara waingiapo kupata huduma kwenye maduka ya kampuni hiyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...