Katibu Mkuu wa
Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, akizungumza na Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene(kulia), alivyofika kuhani
msiba wa Baba Mzazi wa huyo, Marehemu Boniface Simbachawene,Ilazo jijini
Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Naibu Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni akisaini kitabu cha
maombolezo ya kifo cha Baba Mzazi wa Waziri wa wizara hiyo,George
Simbachawene(hayupo pichani).Marehemu Boniface Simbachawene amefariki
katika Hospitali ya Benjamini Mkapa jijini Dodoma.Picha na Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi

Naibu Waziri wa
Madini, Stanslaus Nyongo akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Baba
Mzazi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene(hayupo
pichani).Marehemu Boniface Simbachawene amefariki katika Hospitali ya
Benjamini Mkapa jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Naibu Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Dkt. Damas Ndumbaro
akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Baba Mzazi wa Waziri wa Mambo
ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene(hayupo pichani).Marehemu Boniface
Simbachawene amefariki katika Hospitali ya Benjamini Mkapa jijini
Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Nchi
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu,
Jenista Mhagama akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Baba Mzazi wa
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (hayupo
pichani).Marehemu Boniface Simbachawene amefariki katika Hospitali ya
Benjamini Mkapa jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Kamishna Jenerali
wa Jeshi la Magereza,Suleiman Mzee akisaini kitabu cha maombolezo ya
kifo cha Baba Mzazi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George
Simbachawene(hayupo pichani).Marehemu Boniface Simbachawene amefariki
katika Hospitali ya Benjamini Mkapa jijini Dodoma.Picha na Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi

Waziri wa Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi,William Lukuvi akizungumza na Kamishna
Jenerali wa Magereza,Suleiman Mzee wakati walivyofika nyumbani kwa
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene(kushoto) kuhani
msiba wa Marehemu Boniface Simbachawene aliefariki katika Hospitali ya
Benjamini Mkapa jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama
akimpa pole Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene
(kushoto), alivyofika kuhani msiba wa Baba Mzazi wa waziri huyo,
Marehemu Boniface Simbachawene aliyefariki katika Hospitali ya Benjamini
Mkapa jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...