Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali. Wilbert Ibuge akiendesha Mkutano wa dharura kwa njia ya video ambao unawahusisha Maafisa Waandamizi Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), kuhusu mwenendo ya mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Corona (Covid-19), mkutano ambao umefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali kutoka Tanzania wakifuatilia Mkutano wa dharura kwa njia ya video ambao unawahusisha Maafisa Waandamizi Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), kuhusu mwenendo ya mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Corona (Covid-19), mkutano ambao umefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Tanzania.



Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali. Wilbert Ibuge akiendesha Mkutano wa dharura kwa njia ya video ambao unawahusisha Maafisa Waandamizi Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), kuhusu mwenendo ya mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Corona (Covid-19), mkutano ambao umefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Tanzania, wengine ni Makataibu Wakuu na Maafisa kutoka Wizara mbalimbali.Picha na Idara ya Habari-MAELEZO.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...