Mgonjwa anayetokana na virusi vya Corona (Covid-19) ametoroka karantini jijini Dar es salaam,Mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth Msafiri amethibitisha kushikiliwa basi za kampuni ya Luwinzo mjini Makambako zilizotumiwa na mgonjwa huyo na kuendelea na ukaguzi.
Mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth Msafiri amesema serikali inafuatilia kwa karibu chombo cha usafiri kilichotumiwa na mgonjwa aliyetoroka karantini jijini Dar es salaam.
“Hizo taarifa ni za kweli lakini bado wanafanyia kazi hawajanipa taarifa ni Luwinzo ipi kwa sababu zipo Luwinzo tatu, kwa hiyo wameisha kamata Luwinzo ya Kwanza wanasubiri zingine na zote baadaye watakagua watathibitisha ni ipi na itabaki hiyo hiyo moja”alisema Ruth Msafiri
Aidha mkuu huyo wa wilaya ameto witi kwa wananchi kuendelea kujikinga na virusi hivyo vya Corona.
“Wito wangu ni kwamba lazima tukubali Corona ipo na dawa ya kwanza unikinge,nikukinge yaani tukingane na inapotokea umethibitika utulie na utapata huduma zote sasa unapokimbia unaleta taharuki na unaleta shida kwa sababu unaleta ugonjwa kutoka eneo moja kwenda eneo lingine”amesema Ruth Msafiri
Vile vile amesema serikali haitaruhusu watu kukusanyika wala kukimbilia katika maeneo yaliyowekwa kwa ajli ya washukiwa na badala yake wananchi waviachie vyombo vya tiba na vya usalama kusimamia swala hilo.

Mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth Msafir
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...