Viongozi wa Idara ya Usingizi na Ganzi wa MNH-Mloganzila katika picha ya
pamoja na wahitimu wa mafunzo hayo.
Mkuu wa Idara ya Usingizi na Ganzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili-
Mloganzila, Dkt. Phillip Muhochi (kulia) akimkabidhi cheti mhitimu wa mafunzo
ya mwaka mmoja ngazi ya cheti ya kozi ya usingizi na ganzi Bw. Israel
Mwasenga.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...