
Mkuu
wa mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo(kulia) akimsikiliza Mkuu wa Mauzo
Vodacom Kanda ya Kaskazini, George Venanty(mwenye fulana nyekundu)
wakati kampuni ya Vodacom Tanzania PLC kupitia asasi isiyo ya kiserikali
ya Vodacom Tanzania Foundation walipokabidhi vifaa vyenye thamani ya
zaidi ya shilingi 42 milioni kwa ajili ya watoto wanaozaliwa kabla ya
wakati (njiti) kwenye hospitali ya Muriet mkoani humo ili kuwapa uwezo
wa kupumua,kuongeza joto na kuwapa tiba mwanga . Katikati yao ni Mganga
mkuu wa jiji la Arusha, Dkt. Kheri Kagya
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...