Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge akiweka Mchanga kwenye kaburi la Marehemu Mzee Mohammed Makbel ambaye alikuwa Mwenyekiti wa baraza la Wazee Mkoa wa Dodoma, alipomuwakilisha Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, leo tarehe 11.05.2020 Katika Makaburi ya Makbel Jijini Dodoma.
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Patrobal Katambi akitoa salamu za pole alipohudhuria mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa baraza la Wazee Mkoa wa Dodoma, Marehemu Mzee Mohammed Makbel, leo tarehe 11.05.2020 Katika Makaburi ya Makbel Jijini Dodoma.
Naibu Waziri-Ofisi ya Waziri Mkuu na Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde akitoa salamu za pole alipohudhuria mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa baraza la Wazee Mkoa wa Dodoma, Marehemu Mzee Mohammed Makbel, leo tarehe 11.05.2020 Katika Makaburi ya Makbel Jijini Dodoma.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge akitoa salamu za pole kwa niaba ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, wakati wa Mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa baraza la Wazee Mkoa wa Dodoma, Marehemu Mzee Mohammed Makbel, leo tarehe 11.05.2020 Katika Makaburi ya Makbel Jijini Dodoma.
Naibu Waziri-Ofisi ya Waziri Mkuu na Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde, akiweka Mchanga kwenye kaburi la aliyekuwa Mwenyekiti wa baraza la Wazee Mkoa wa Dodoma, Marehemu Mzee Mohammed Makbel, leo tarehe 11.05.2020 Katika Makaburi ya Makbel Jijini Dodoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...