Muanzilishi wa Taasisi ya Doris Mollel na Balozi wa Watoto Njiti nchini,Doris Mollel (wa pili kulia) akimkabidhi Mzee Rajabu Nyaza msaada wa futari waliyoitoa kwa kaya 150 za Kata ya mbili za wilaya ya Bagamoyo (Kiromo na Kitopeni) kwa kushirikiana na Shirika la Uratibu wa Maendeleo la Uturuki (TIKA) ikiwa ni lengo la kuwafikia baadhi ya waumini wa kiislamu wenye uhitaji maalumu katika kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. wa pili kushoto ni Mbunge wa Bagamoyo, Dkt Shukuru Kawambwa na kulia ni Muwakilishi wa TIKA, Badrudeen Yassin.
Muanzilishi wa Taasisi ya Doris Mollel na Balozi wa Watoto Njiti nchini,Doris Mollel (kulia) akishuhudia Bibi Arafa akipokea sehemu ya msaada wa futari kuroka kwa Muwakilishi wa Shirika la Uratibu wa Maendeleo la Uturuki (TIKA), Badrudeen Yassin.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...