

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa,
Kamishna Msaidi wa Polisi (ACP), Juma Bwire kulia(kulia) akipokea vifaa
vya kujikinga dhidi ya Virusi ya Covid 19 kutoka Kampuni ya Agora Wood
Product vyenye thamani Tsh Milioni 6. 5 kuwasaidia askari Polisi
kujilinda afya zao. (Picha na Datus Mahendeka wa Jeshi la Polisi)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...