Mkurugenzi Msaidizi
Rasilimaliwatu, Hilda Tegwa (Wa tatu kulia) akisisitiza matumizi ya
kunawa mikono kwa baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi ili kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Covid-19.
Tukio hilo limefanyika leo katika Ofisi za Wizara hiyo jijini Dodoma.

Mkurugenzi Msaidizi
Rasilimaliwatu, Hilda Tegwa (Wa tatu kulia) akitakasa mikono yake kwa
ajili ya kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Covid-19, wengine ni
baadhi ya Watumishi wa Wizara hiyo wakisubiri kutakasa mikono yao kabla
ya kuingia katika Ofisi za Wizara hiyo, Jijini Dodoma leo.

Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya
kuzuia na kupambana na maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19 ya Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi wakitazama moja kati ya vifaa kwa ajili ya
kujikinga dhidi ya ugonjwa wa Covid-19 kwa Watumishi wa Wizara hiyo na
wageni wanaofika katika Ofisi za Wizara hiyo jijini Dodoma.

Baadhi ya Wajumbe wa kamati ya
kuzuia na kupambana na maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19 ya Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi wakitazama moja kati ya vifaa kwa ajili ya
kujikinga dhidi ya ugonjwa wa Covid-19 kwa Watumishi wa Wizara hiyo na
wageni wanaofika katika Ofisi za Wizara hiyo jijini Dodoma.

Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi wakitakasa mikono yao katika moja ya kifaa kwa
ajili ya kujikinga dhidi ya ugonjwa wa Covid-19 kwa Watumishi wa Wizara
hiyo na wageni wanaofika katika Ofisi za Wizara hiyo jijini Dodoma
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...