Naibu Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (watatu kulia), akimpa
mtoto Sada Abdallah, sadaka ya Begi na Mchele wakati wa ugawaji wa
sadaka ya Sikukuu ya Eid uliofanyika leo katika Ofisi ya Taasisi
ya Misaada kwa Binadamu ya Abdullah kutoka nchini Uingereza yenye tawi
lake Vingunguti jijini Dar es Salaam.Wapili kulia ni Mstahiki Meya wa
Ilala, Omary Kumbilamoto.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi,Mhandisi Hamad Masauni akikabidhi sadaka ya Eid kwa mzazi wa
mtoto wakati wa ugawaji wa sadaka hiyo iliyotolewa na Taasisi
ya Misaada kwa Binadamu ya Abdullah kutoka nchini Uingereza yenye tawi
lake Vingunguti jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi

Naibu Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na wazazi wa
watoto muda mfupi baada ya kuwakabidhi sadaka ya Sikukuu ya
Eid iliyotolewa leo na Taasisi ya Misaada kwa Binadamu ya Abdullah
kutoka nchini Uingereza yenye tawi lake Vingunguti jijini Dar es
Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...