Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na mtoto
aliyejulikana kwa jina moja la Rahma mara baada ya kuwasalimia Wananchi
katika eneo la Mataa mkoani Singida. PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mkuu
wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwandri mara baada ya kuwasili Nzega Mkoani
Tabora.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa
Nzega mkoani Tabora (hawaonekani pichani) wakati akielekea mkoani
Singida.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa
Singida mjini (Kwenye Mataa) mara baada ya kuwasili wakati akitokea
Nzega Mkoani Tabora
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza mwananchi
mmoja aliyekuwa na kero kuhusu zao la Choroko mkoani Singida.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...