RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindizi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Viongozi wa Serikali alipowasili Uwanja wa Ndege Chakechake Pemba
akiwa katika ziara yake ya kikazi .(Picha na Ikulu)
BAADHI
ya Viongozi wa Mikoa Miwili ya Kaskazini na Kusini Pemba wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo
pichani) akizungumza na Viongozi hao katika ukumbi Ikulu Ndogo Chakechake Pemba
leo 12/5/2020.(Picha na Ikulu)
MKUU
wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman akiwasilisha taarifa ya utekelezaji
ya Mkoa wa Kusini wakati wa mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Ndogo chakechake Pemba leo 12/5/2020.(Picha na Ikulu)
.MKUU wa
Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe. Omar Khamis Othman akisoma taarifa ya utekelezaji
ya Mkoa wake wa Kaskazini Pemba wakati wa mkutano wa Viongozi wa Mikoa Miwili
ya Pemba uliofanyika katika ukumbi Ikulu Ndogo Chakechake Pemba uliofanyika leo
12/5/2020.(Picha na Ikulu)
WAZIRI
wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Ussi Gavu
akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe., Dk. Ali Mohamed Shein, kuzungumza na Viongozi wa Serikali wa
Mikoa miwili ya Kusini na Kaskazini Pemba uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Ndogo Chakechake Pemba leo 12/5/2020.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Viongozi wa
Mikoa miwili ya Kaskazini na Kusini Pemba, katika ukumbi wa Ikulu Ndogo
Chakechake, akiwa katika ziara yake ya Siku mbili Pemba.(Picha na Ikulu)
BAADHI
ya Viongozi wa Serikali kutoka Mikoa miwili ya Kaskazini na
Kusini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) akizungumza wakati wa
mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba leo
12/5/2020.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Viongozi wa Serikali na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama,
wakifuatilia mkutano wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) mkutano huo umefanyika katika ukumbi
wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba, akiwa katika ziara yake ya siku mbili.(Picha
na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzin
Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza wakati wa mkutano wake na Viongozi wa
Serikali wa Mikoa miwili ya Kaskazini na Kusini Pemba uliofanyika katika ukumbi
wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba akiwa katika ziara yake ya Siku mbili Kisiwani
Pemba.(Picha na Ikulu)
KAMANDA
wa Chuo Cha Mafunzo Sharif Ahmada Ali akisoma dua baada ya kumalizika kwa
mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali
Mohamed Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba.(Picha
na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...