Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Wa kwanza kushoto) akimuaga aliyekuwa mpambe wake (ADC) Mathias Stephano (Wa pili kushoto) aliyemaliza muda wake katika Utumishi wa Umma, tukio hilo limefanyika katika Ofisi za Wizara hiyo jijini Dodoma leo. Wa kwanza kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio. 
 Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Wa tatu kulia) akimuaga aliyekuwa mpambe wake (ADC) Mathias Stephano (Wa kwanza kulia) aliyemaliza muda wake katika Utumishi wa Umma, tukio hilo limefanyika Ofisi za Wizara hiyo jijini Dodoma leo. Wengine ni baadhi ya Watumishi wa Wizara hiyo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Wa kwanza kulia) akimuaga aliyekuwa mpambe (ADC) wa Waziri Simbachawene, Mathias Stephano (Wa kwanza kushoto) aliyemaliza muda wake katika Utumishi wa Umma, tukio lililofanyika katika Ofisi za Wizara hiyo jijini Dodoma leo. Wa kwanza kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio. 



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...