Ndugu Christopher Edward Mfinanga wa Ofisi ya Waziri Mkuu anasikitika kutangaza kifo Cha Baba yao Mpendwa Mzee Edward Mfinanga kilicho tokea leo tarehe 19/5/2020 mkoani Arusha.
Mipango ya Mazishi inafanyika kwa Mworombo, Arusha. Habari ziwafikie ndugu, jamaa, majirani na Marafiki popote pale walipo.
BWANA ALITOA, BWANA AMETWAA.
JINA LAKE NA LIHIMIDIWE
AMINA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...