Meridianbet wameanzisha Promosheni ya TIKETI YA KWANZA JUU YETU ambayo tiketi yako ya kwanza daima haiwezi kupoteza, kwa sababu kama haijashinda –Watakurudishia hadi Tsh 12,500 ya pesa uliyolipia tiketi yako katika akaunti ya bonasi ya kubetia. 

Kwa kweli, timu ya Meridianbet imefanya ofa hii kuwa rahisi sana ili daima isiwe vigumu sana kupata USHINDI wako wa kwanza.

Ofa hii haina hasara kabisa, ni kwa wateja wote wapya WANAOJISAJILI na kufungua akaunti ya kubashiri na Meridianbet.co.tz. Ili kudai ofa hii, weka beti yako ya kwanza kwa kiasi cha kati ya TSh 1,000 na 12,500 TSh kwenye mchezo wowote.

Kama tiketi yako haitaweza kushinda, utakuwa na uwezo wa kuwasiliana timu na ile pesa uliyolipia tiketi yako itawekwa kwenye akaunti yako ya bonasi siku inayofuata. 

Unaona? Ukiwa na Meridianbet, ni USHINDI USHINDI kwa kila mtu! Jisajili leo na kudai tiketi yako ya ushindi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...